Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi John Simbachawene amesema soko huru la biashara Afrika ...
Aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa, ameieleza Mahakama Kuu, ...
Naibu Waziri (Ofisi ya Rais), Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu ametoa kauli hiyo leo Septemba 24, ...
Eneo lililokuwapo gari hilo, ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja ...
Tanga. Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe ...
Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 2,000, limetengwa na Serikali kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Kujenga Kesho Iliyo Bora (BBT) ...
Imeelezwa kuwa, uzoefu unaonesha kuna tafiti nyingi za kisayansi zinafanyika hapa nchini na zina matokeo mazuri ...
Imeelezwa kuwa, dini ni njia ya maisha inayokusudia kumuongoza mtu kuelekea kwa Mungu huku siasa ikihusika na masuala ya ...
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa masuala ya nishati barani Afrika utakaotafuta namna ya kukusanya dola za ...
Wadau na wanazuoni nchini wameshauri Jeshi la Polisi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutafuta suluhu kwa njia ...
Mahakimu wakazi 28 katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) mkoani Tanga wanapatiwa mafunzo elekezi ili kuimarisha ...