Maonyesho hayo yanabebwa na kauli mbiu isemayo, “Tembelea Tanzania kwa uwekezaji endelevu na utalii usio mithilika” ...
Utawala wa demokrasia, haki na usawa hupimwa siyo kwa kuwa na Katiba nzuri au kauli za kuvutia, bali kwa vitendo ...
Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na ...
Mume wa Jonaisi Shao aliyekutwa amefariki dunia pamoja na mwanawe wa kiume na dada wa kazi kwa kuchomwa moto, eneo la msitu ...
Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi ...
Katika nyakati za mafanikio makubwa chini ya Sir Alex Ferguson, kiwango cha Manchester United kilikuwa juu sana, kupoteza mechi moja ilionekana kama janga kubwa, hayo ni maneno ya nahodha ...
Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yanaelekezwa katika mchezo wa Dabi ya Mzizima kati ya Azam na Simba utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa New Complex Amaan Zanzibar kuanzia saa ...
Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini na ...
MMOJA wa wachezaji wanaofanya vizuri Ligi Kuu Bara msimu huu ila hazungumzwi sana ni mshambuliaji wa Fountain Gate FC, Seleman Mwalimu ‘Gomez’, kutokana na kiwango bora anachokionyesha.
Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’.
Eneo lililokuwapo gari hilo, ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja. Serikali imeibua pingamizi la awali dhidi ya kesi hiyo ikiiomba Mahakama ...
Katika utetezi wake mahakamani hapo, Rehema alidai Februari 23, 2023, mume wake alichukuliwa nyumbani na kundi la wanaume watano, wanne kati yao wakiwa wamevalia sare za polisi ...