Ingawa kugalagala (kugaagaa) chini wengine wanakuhusisha na mitazamo hasi, kwa kabila la Wangoni ni utaratibu unaobeba ...
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua ...
Maonyesho hayo yanabebwa na kauli mbiu isemayo, “Tembelea Tanzania kwa uwekezaji endelevu na utalii usio mithilika” ...
Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na ...
Utawala wa demokrasia, haki na usawa hupimwa siyo kwa kuwa na Katiba nzuri au kauli za kuvutia, bali kwa vitendo ...
Mume wa Jonaisi Shao aliyekutwa amefariki dunia pamoja na mwanawe wa kiume na dada wa kazi kwa kuchomwa moto, eneo la msitu ...
Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi ...
Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’.
Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yanaelekezwa katika mchezo wa Dabi ya Mzizima kati ya Azam na Simba utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa New Complex Amaan Zanzibar kuanzia saa ...
Kuna mwanamuziki nguli kutoka kule kunakovutwa bangi hadi zikaota vichwani alihojiwa na chombo cha habari cha kimataifa. Akasema ati alikataa kusoma sana kwa kuogopa kugeuka mjinga! Kila ...
Katika nyakati za mafanikio makubwa chini ya Sir Alex Ferguson, kiwango cha Manchester United kilikuwa juu sana, kupoteza mechi moja ilionekana kama janga kubwa, hayo ni maneno ya nahodha ...
MMOJA wa wachezaji wanaofanya vizuri Ligi Kuu Bara msimu huu ila hazungumzwi sana ni mshambuliaji wa Fountain Gate FC, Seleman Mwalimu ‘Gomez’, kutokana na kiwango bora anachokionyesha.