Maonyesho hayo yanabebwa na kauli mbiu isemayo, “Tembelea Tanzania kwa uwekezaji endelevu na utalii usio mithilika” ...
Utawala wa demokrasia, haki na usawa hupimwa siyo kwa kuwa na Katiba nzuri au kauli za kuvutia, bali kwa vitendo ...
Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na ...
Mume wa Jonaisi Shao aliyekutwa amefariki dunia pamoja na mwanawe wa kiume na dada wa kazi kwa kuchomwa moto, eneo la msitu ...
Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi ...
Katika nyakati za mafanikio makubwa chini ya Sir Alex Ferguson, kiwango cha Manchester United kilikuwa juu sana, kupoteza mechi moja ilionekana kama janga kubwa, hayo ni maneno ya nahodha ...
Eneo lililokuwapo gari hilo, ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja. Serikali imeibua pingamizi la awali dhidi ya kesi hiyo ikiiomba Mahakama ...
Katika utetezi wake mahakamani hapo, Rehema alidai Februari 23, 2023, mume wake alichukuliwa nyumbani na kundi la wanaume watano, wanne kati yao wakiwa wamevalia sare za polisi ...
Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’.
Eneo lililokuwapo gari hilo, ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja. Serikali imeibua pingamizi la awali dhidi ya kesi hiyo ikiiomba Mahakama ...
Chatanda ametoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi badala yake kufuata taratibu na sheria.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi John Simbachawene amesema soko huru la biashara Afrika ...