Kampuni ya vinywaji vya Coca Cola imelazimika kulifanyia mabadiliko tangazo lake la biashara linalofahamika kama "Taste the feeling" kufuatia kuingiliwa kati na bodi inayodhibiti filamu nchini Kenya.
Tangazo moja linalomuonesha mtu mmoja akiwa anakula popo aliyewekwa ndani ya Sandwichi linachunguzwa na bodi ya matangazo nchini Australia. Tangazo hilo kutoka kwa kampuni ya matangazo ya Boating ...