Kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii kudanganya umri na kutaja mdogo zaidi uoga wa uzee na ubaguzi unataja kuwa chanzo cha ...
Maonyesho hayo yanabebwa na kauli mbiu isemayo, “Tembelea Tanzania kwa uwekezaji endelevu na utalii usio mithilika” ...
Ingawa kugalagala (kugaagaa) chini wengine wanakuhusisha na mitazamo hasi, kwa kabila la Wangoni ni utaratibu unaobeba ...
Utawala wa demokrasia, haki na usawa hupimwa siyo kwa kuwa na Katiba nzuri au kauli za kuvutia, bali kwa vitendo ...
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua ...
Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na ...
Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi ...
Mume wa Jonaisi Shao aliyekutwa amefariki dunia pamoja na mwanawe wa kiume na dada wa kazi kwa kuchomwa moto, eneo la msitu ...
Buchosa. Sarah Petro (74) aliyeuawa Septemba 22, 2024 kwa kukatwa kwa panga na watu wasiojulikana amezikwa. Maziko yamefanyika Septemba 24, 2024 nyumbani kwake Kitongoji cha Mizorozoro, Kijiji cha ...
Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye kwa sasa anashikiliwa kwenye gereza la ‘Metropolian Detention Center’, Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kugoma kula chakula anachopewa gerezani kwa ...
Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’.
Aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa, ameieleza Mahakama Kuu, ...