Maonyesho hayo yanabebwa na kauli mbiu isemayo, “Tembelea Tanzania kwa uwekezaji endelevu na utalii usio mithilika” ...
Utawala wa demokrasia, haki na usawa hupimwa siyo kwa kuwa na Katiba nzuri au kauli za kuvutia, bali kwa vitendo ...
Katika nyakati za mafanikio makubwa chini ya Sir Alex Ferguson, kiwango cha Manchester United kilikuwa juu sana, kupoteza mechi moja ilionekana kama janga kubwa, hayo ni maneno ya nahodha ...
Katika nchi nyingi zinazoendelea, uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani umekuwa wa kusuasua kutokana na ...
Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi ...
Eneo lililokuwapo gari hilo, ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja. Serikali imeibua pingamizi la awali dhidi ya kesi hiyo ikiiomba Mahakama ...
Katika utetezi wake mahakamani hapo, Rehema alidai Februari 23, 2023, mume wake alichukuliwa nyumbani na kundi la wanaume watano, wanne kati yao wakiwa wamevalia sare za polisi ...
Mume wa Jonaisi Shao aliyekutwa amefariki dunia pamoja na mwanawe wa kiume na dada wa kazi kwa kuchomwa moto, eneo la msitu ...
Eneo lililokuwapo gari hilo, ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja. Serikali imeibua pingamizi la awali dhidi ya kesi hiyo ikiiomba Mahakama ...
Chatanda ametoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi badala yake kufuata taratibu na sheria.
Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’.
Neno Lugalo kwa wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam na Iringa, siyo geni.Kwa Iringa jina hilo linawarudisha hadi miaka ya 1891 wakati Chifu Mkwawa wa Wahehe alipokuwa akikabiliana na jeshi ...